🇹🇿 Tanzania News Website
Track live headlines, publication timing, and trending stories from Global Publishers in Tanzania.
www.globalpublishers.co.tzTotal Headlines
183
Date Range
Tue, 14th Jul., 2026 - Sat, 18th Jul., 2026
Fahamu Milango Muhimu ya Bahari Duniani na Umuhimu Wake kwa Biashara ya Kimataifa
Tanzania na Misri Zakubaliana Kuongeza Biashara, Uwekezaji na Miradi ya Kimkakati (Picha +Video)
Wadukuzi Wavamia Tovuti ya Rais Ruto, Wadai Bitcoin 5 Kama Fidia
Mpenzi wa Jayden Adams Avunja Ukimya Baada ya Kifo Chake
Mpenzi wa Jayden Adams Avunja Ukimya, “Hakuna Maneno ya Kuelezea Maumivu”
Polisi Watoa Taarifa Mauaji Ya Baba Mzazi Na Baba Mdogo, Miili Yapatikana – Video
Msimu Mpya Unaanza, Meridianbet Yakuletea Mechi Kubwa na Ushindi Mkubwa
Video: Maopena Akamatwa kwa Tuhuma za Kumuua Baba Yake na Baba Mdogo
Nandy na Billnass Waadhimisha Miaka Minne ya Ndoa Kwa Style ya Kipekee Goba, Dar – Picha
FIFA Yamtangaza Mwamuzi wa Fainali ya Kombe la Dunia 2026 Argentina vs Hispania Kesho
Iran Yatoa Onyo kwa Marekani “Mashambulizi Yakiendelea Tutapanua Uwanja wa Vita” – Video
Bahati Iliyoshuka Kutoka Gates of Olympia Yatoa Zaidi ya Tsh. 248 Milioni
Fahamu Kesi ya Mauaji ya Celeste Hernandez Iliyotikisa Marekani, Kesi Bado Inaendelea
Fahamu Kesi ya Mauaji ya Msichana Celeste wa Miaka 14 Iliyotikisa Marekani, D4vd Akamatwa
Shakira Amwaga Sifa Kwa Messi na Antonela Kabla ya Fainali ya Kombe la Dunia
Hispania vs Argentina: Tazama Fainali LIVE na Oryx Energies Mbagala Zakhem
Kombe la Dunia 2026 Kusafirishwa kwa Sanduku Maalum la Louis Vuitton
Fahyma Aibua Gumzo Mitandaoni, Mashabiki Wamsifu kwa Mitindo na Urembo Wake
Trump Kuhudhuria Fainali ya Kombe la Dunia 2026 Kwa Mara ya Kwanza
Wachezaji wa Uingereza Waanza Kumlalamikia Kocha Baada ya Kuondolewa na Argentina
Mambo Muhimu ya Kujua Kabla ya Kununua Toyota Noah New Shape
Unatafuta Kazi? Hizi Hapa Nafasi za Wahudumu wa Duka, Tuma CV Yako Leo
Mambo Sita Usiyoyajua Kuhusu Faida na Hasara za Pilipili
Mabingwa wa Dunia 2026 Kupewa Pete Maalum za Ubingwa Kwa Mara ya Kwanza
Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Shauri la Kupinga Tume ya Jaji Lila
Rumble Kong CASHINGO Na Mbinu Mpya Za Ushindi
Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi Kuanza Ziara ya Kitaifa Nchini Kesho
Je, Marioo Amefunga Ndoa Kimya Kimya? Picha Zake Zazua Mjadala
Iran Yalipiza Kisasi Baada ya Marekani Kushambulia Madaraja na Uwanja wa Ndege – Video
Hispania vs Argentina: Tazama Fainali LIVE na Oryx Energies Mbagala Zakhem
Mzamiru Yassin Aaga Rasmi Simba Baada ya Miaka Tisa ya Utumishi
Msaidizi wa Trump Asimamishwa Kazi kwa Tuhuma za Kutengeneza Mamilioni
Wachezaji Wapewa Nafasi ya Kung’ara Katika Mechi za Kirafiki
Messi Afunguka Baada ya Argentina Kutinga Fainali Kombe la Dunia, Aitahadharisha Hispania
Trump Atoa Nyaraka za Siri, Aishutumu China Kuingilia Uchaguzi wa Marekani 2020
Iran Yadai Kushambulia Kituo cha Marekani Syria, Yatoa Tishio Jipya Hormuz
Jacqueline Wolper Afichua Tabia za Kajala, Aunty Ezekiel na Irene Uwoya
Serikali Yatangaza Nafasi 63 za Ajira Wizara ya Afya, Mwisho wa Maombi Julai 18, 2026
Hal Williams Aaga Dunia, Aacha Urithi Mkubwa Hollywood
Kisa cha Kusikitisha: Mwanamke Afanya Mauaji Kisa Wivu wa Mapenzi, Afungwa Maisha
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 17, 2026
Hal Williams Aaga Dunia, Aacha Urithi Mkubwa Hollywood
Umoja Wenye Malengo Kukabili Changamoto Zinazoibuka, SADC
Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino
Simba Yaanza Mabadiliko Makubwa, Yaaga Wachezaji Saba
Makipa Wanne Wawania Glovu ya Dhahabu Kombe la Dunia 2026
Mahakama Kuu Yafuta Kesi ya Kupinga Ushindi wa Ubunge wa Baba Levo Jimbo la Kigoma Mjini
Urithi wa Mkapa Watajwa Kuwa Chachu ya Ushirikiano Katika Sekta ya Afya
Katibu Mkuu CCM Afanya Mazungumzo na Balozi wa Norway Nchini
Iran Yaionya Marekani, Yashambulia Mataifa Yanayohifadhi Vikosi Vyake
CHADEMA Yamsimamisha Joseph Selasini, Yampa Siku 14 Kujitetea
Kama Unapenda Sinema, Hizi Ndizo Filamu 7 Usizopaswa Kukosa 2026
Lionel Messi Atwaa Tuzo ya Mwanasoka Bora ESPY 2026, Amtupa Dembélé
Malkia wa Olimpiki Simone Biles Aangaza ESPY kwa Gauni la Kipekee
Fungua Ramani ya Hazina na Ushinde Mamilioni Kupitia Expanse Treasure Hunt
Argentina Yawaondoa England kwa Kishindo, Yatinga Fainali ya Kombe la Dunia
Shakira Kurejea Misri Baada ya Miaka 19, Kutumbuiza Katika Piramidi za Giza
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 16, 2026
Airtel Yawapa Vijana Ujuzi wa Kubadili Taka za Kielektroniki kuwa Biashara
Serikali Yatangaza Nafasi 63 za Ajira Wizara ya Afya, Mwisho wa Maombi Julai 18, 2026
Leo ni Leo! England na Argentina Kusaka Nafasi ya Kucheza Fainali ya Kombe la Dunia
Kama Unapenda Sinema, Hizi Ndizo Filamu 7 Usizopaswa Kukosa 2026
Nyangumi wa Bahati! Meridian Scatter Whale Yaleta Msisimko Mpya wa Kasino
Kifo cha Mwanasoka Kijana Nolan Wells Chazua Maswali, Uchunguzi Bado Unaendelea
Hispania yatinga Fainali ya Kombe la Dunia kwa kuifunga Ufaransa 2-0
Trump Aondoa Mpango wa Kutoza Ada ya 20% kwa Meli Zinazopita Hormuz
Oryx Yazindua Kitabu cha Matumizi Salama ya LPG, Yasaini Mkataba na Skauti
Serikali Yatangaza Nafasi 22 za Kazi FCC na Chuo cha Taifa cha Utalii
Netanyahu Atoa Onyo Kali kwa Iran “Tutalipiza Kisasi Mara Mbili”
Fahamu Faida 7 Muhimu za Kula Machungwa Kila Siku
Manchester United Yamtambulisha Karl Darlow Kwa Uhamisho Huru
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 15, 2026
Rubio azindua kampeni ya kupinga Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC
Matunda 5 Yanayosaidia Kuimarisha Afya ya Figo
RC Chalamila Akutana na Ujumbe Kutoka Jiji la Yokohama-Japan
Rais Samia Amteua Asha Dachi Kuwa Mkurugenzi Mkuu Mpya wa TBC
Bakwata Yawasimamisha Kazi Masheikh Watatu wa Mikoa, Yumo Sheikh Walid wa Dar
Lamine Yamal Atoa Ujumbe Mzito Kabla ya Kukiwasha na Ufaransa leo
Trump Aonya Kuishambulia Iran, Ataja Eneo la Siri la Pickaxe Mountain
Serikali Yatangaza Nafasi 22 za Kazi FCC na Chuo cha Taifa cha Utalii
Iran Yajibu Pendekezo la Trump la Ushuru Hormuz “Asilimia 20 Ni Kubwa, Tutatoza Nafuu Zaidi”
Mashabiki wa Norway Waandika Historia Kwa Mapokezi ya Ajabu Baada ya Kombe la Dunia
CCM Yamkosoa Othman Masoud Kwa Kutaja Ajenda za Vikao vya Pamoja Zanzibar