🇹🇿 Tanzania News Website
Track live headlines, publication timing, and trending stories from Global Publishers in Tanzania.
www.globalpublishers.co.tzTotal Headlines
100
Date Range
Tue, 14th Apr., 2026 - Today
Trump Atishia Kushambulia Miundombinu ya Iran Ikiwa Hakutakuwa na Makubaliano
Netanyahu Aagiza Uchunguzi Baada ya Mwanajeshi wa Israel Kuharibu Sanamu ya Yesu
Mudathir Yahya Afungiwa Mechi 3 Baada ya Kumpiga Mchezaji wa Pamba Jiji
TPLB Yatoa Adhabu Nzito kwa Simba, TRA United na Azam FC
Rais Samia Aagiza Fedha za Muungano Zisaidie Ukarabati wa Barabara Nchini
Derby ya London Yapamba Moto: Palace Wawakaribisha West Ham Selhurst Park
Waandishi Wamwashia Moto Madam Ritha Wataka Asusiwe na Vyombo vya Habari
Fursa ya Kipekee: Ajira 1000 za Wapishi wa Kiume Nchini Oman
Polisi Yamkaribisha Kamishna Mkama kwa Ushindi
Shinda Samsung Galaxy A26 Kupitia Super Heli ya Meridianbet
Serengeti Premium Apple Yazinduliwa Kihistoria Ndani ya Serengeti National Park
Trump Amzuia JD Vance Kuongoza Mazungumzo na Iran Kwa Sababu za Kiusalama
Mambo Muhimu ya Kuzingatia Kwenye Gari Lako Kila Asubuhi
Mambo 5 Unayotakiwa Kujua Kuhusiana Na Hedhi
Man City Yaifunga Arsenal 2-1, Mbio za Ubingwa Zapata Moto Mpya
Waziri Mkuu Aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji wa Bilioni 17 Chamwino
Simba Yapunguza Pengo kwa Yanga Baada ya Ushindi wa 3-1 dhidi ya Namungo
EPL Kwa Moto leo, Nani Kuvuna Alama Tatu, Liverpool Kukiwasha na Everton, Arsenal na Man City
Spika wa Bunge: Iran Haiko Tayari Kuachia Masuala Muhimu Katika Mazungumzo na Marekani
Waziri Ulega: Nyasanho ni Mfano wa Kuigwa
Fursa ya Kipekee: Ajira 1000 za Wapishi wa Kiume Nchini Oman
SuperSport Kurusha Mechi Zote 104 za Kombe la Dunia 2026 Mubashara Afrika
Mnara wa 4G Wafungua Milango ya Maendeleo Daluni Kisiwani, Mkinga
Fernandes Ang’aa Tena, Aipa Man United Ushindi Muhimu Dhidi ya Chelsea
Big Bounty Ndio Ligi Ya Wakali Ikitoa Pesa Kwa Wenye Njaa Ya Ushindi
Supermarket Yatangaza Nafasi za kazi 17 za Cashier, Wanahitajika Haraka
Trump: Iran Haiwezi Kutuogopesha Kwa Kufunga Mlango wa Hormuz
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 19, 2026
Iran Yafunga Tena Mlango wa Hormuz, Yashambulia Meli Zinazojaribu Kupita
Kisasi au Mwendelezo? Chelsea Wakitafuta Ushindi Dhidi ya United leo
Familia Yalia: Sindano 15 Kila Siku, Msichana Ahitaji Msaada, Ateseka Miaka 18 – Video
Kikwete Akutana na Ruto Nairobi Kujadili Amani ya Sudan Kusini
Natalie Portman Aibua Gumzo Baada ya Kutangaza Ujauzito wa Tatu
Shinda Zawadi Kubwa Kupitia Aviator Kwenye Meridianbet
Kafulila Aeleza Kwa Kina Dhana ya Ubia (PPP), Aondoa Mkanganyiko kwa Wananchi
A – Z: Biashara Ya Mafuta Ya Magendo Inavyofanyika Tanzania, Bandari Bubu Hatari Zatajwa – Video
Fahamu Madhara ya Kuendesha Gari Taa ya Mafuta Ikiwa Inawaka
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 18, 2026
Waziri Mkuu Mwigulu Akagua Maendeleo Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu, Arusha
Meridianbet Yawasha Tena Taa Ya Matumaini Kijitonyama Kisiwani
FĂ bregas Aigeuza Como 1907 kuwa Tishio Kubwa Serie A, Kutinga UEFA
JWTZ Yatangaza Nafasi za Kujiunga na Jeshi, Mwisho Aprili 28, 2026
Robo Fainali FA Yaibua Mvutano Mkali; Yanga Yapangwa na JKT, Simba Dhidi ya TRA United
Trump: Mazungumzo na Iran Yamefikia Hatua ya Karibu Kukamilika
Madiwani CCCM Watinga Bungeni Kwa Mwaliko wa Mbunge wa CHAUMMA
Utata Wagubika Kifo cha Waziri wa Mawasiliano Burundi Gabby Bugaga Akiwa Ndani ya Gari
Mbeya City Yaachana na Mecky Maxime Baada ya Kipigo Cha 6-0 Dhidi ya Yanga
Papa Leo Awashambulia “Madikteta” Wanaotumia Mabilioni Kwenye Vita, Atoa Wito wa Amani
Kenani: Uamuzi wa Mahakama Kuhusu CHADEMA Ni Ushahidi wa Uhuru wa Mahakama
Future Ashitakiwa na Ex Wake Kukwepa Majukumu ya Malezi ya Mtoto
Angalia Maajabu Ya Mazda CX‑50 Toleo la Kipekee Kwenye Macho!
Hasira; Chanzo Kikubwa cha Kuvunjika Uhusiano!
Makonda Amteua Tenga Kuongoza Maandalizi ya AFCON 2027
Marekani Yaitishia Iran: Hatutasita Kutumia Nguvu Endapo Haitatii Zuio la Baharini
Waziri Mkuu Mwigulu Afungua Kongamano la Biashara na Uwekezaji Ziwa Tanganyika
Malema Ahukumiwa Miaka Mitano Baada ya Kupatikana na Hatia ya Kufyatua Risasi
Rais Samia Afungua Mkutano Wa Kimataifa Wa Madaktari Bingwa Wa Upasuaji Wa Ubongo Dar
Future Ashitakiwa na Ex Wake Kukwepa Majukumu ya Malezi ya Mtoto
Israel na Lebanon Kusitisha Mapigano kwa Muda wa Siku 10
Ushindi Papo Hapo! Drops & Wins Yawasha Moto Kwa Wachezaji
JWTZ Yatangaza Nafasi za Kujiunga na Jeshi, Mwisho Aprili 28, 2026
Watuhumiwa Sita Wakamatwa kwa Tuhuma za Mauaji ya Polisi Arusha
Aston Villa, Freiburg, na Celta Vigo Kukiwasha leo Kutinga Nusu Fainali ya Europa
Trump Aibua Mabishano Baada ya Kushare Picha ya Yesu Akimkumbatia Mtandaoni
Waziri Mkuu Awasili Kigoma Kufungua Kongamano la Uwekezaji Ziwa Tanganyika
Familia Yalia: Sindano 15 Kila Siku, Msichana Ahitaji Msaada, Ateseka Miaka 18 – Video
Raphinha Aomba Radhi Baada ya Ishara Dhidi ya Mashabiki wa Atlético Madrid
Vee Dollarz Avalishwa Pete ya Uchumba na Kiredio, Wapongezwa na Mashabiki Insta
Iran Yatoa Onyo la Kufunga Red Sea na Njia za Biashara Baharini
Papa Leo XIV Aendelea Kusisitiza Amani na Umoja Wakati Trump Akiendelea Kumkosoa
Mbunge Eric Swalwell Ajiuzulu Baada ya Tuhuma Nzito za Unyanyasaji wa Kingono
JWTZ Yatangaza Nafasi za Kujiunga na Jeshi, Mwisho Aprili 28, 2026
Familia ya Ashly Yachangisha Pesa Mtandaoni Kurejesha Mwili Marekani
Vita ya Nusu Fainali UEFA: Arsenal na Sporting, Bayern na Real Madrid Kukiwasha Leo
Mahakama ya Rufani Yarejesha Shughuli za Kisiasa za Chadema
Tamasha Kubwa la Kimataifa la Vichekesho Kuzinduliwa Dar es Salaam – PICF 2026
Familia Yalia: Sindano 15 Kila Siku, Msichana Ahitaji Msaada, Ateseka Miaka 18 – Video
China Yakana Madai ya Trump Kuhusu Msaada wa Silaha kwa Iran
Spearhead Studios Yazindua Zaidi ya Michezo 90 Mpya ya Kasino
Supermarket Yatangaza Nafasi za kazi 17 za Cashier, Wanahitajika Haraka
Atlético Madrid Yatinga Nusu Fainali UEFA Baada ya Kuiondoa FC Barcelona
Dunia Yatetemeka: Kufungwa kwa Hormuz Yapandisha Bei za Mafuta
Fahamu Bajeti na Maandalizi ya Safari ya Kihistoria ya Artemis II
Marekani na Iran Kufanya Mazungumzo Mapya Licha ya Mvutano wa Bahari
China Yapuuza Vikwazo vya Marekani Hormuz, Meli Yake Yapita Karibu na Manowari za Marekani Bila Kuzuiwa
Polisi Wamshikilia Mpenzi wa Marehemu Ashly Jenae Uchunguzi wa Kifo Nungwi
A – Z: Biashara Ya Mafuta Ya Magendo Inavyofanyika Tanzania, Bandari Bubu Hatari Zatajwa – Video
Papa Atembelea Msikiti Mkuwa Algeria, Ahamasisha Mazungumzo ya Dini na Amani
Trump Aondoa Picha ya AI Iliyoonyesha Akiwa Kama Yesu Kwenye Mtandao Wake wa Kijamii
Kiongozi wa Hezbollah Akataa Mazungumzo ya Israel na Lebanon Nchini Marekani
Usiku wa Kisasi UEFA, Nani Kufuzu Nusu Fainali Barcelona vs Atletico Madrid, Liverpool vs PSG
Dokta Cheni Aeleza Mazingira ya Kifo cha Mdogo Wake Aliyefariki Kwa Ajali – Video
UNDP na Finland Wawekeza Katika Biashara Endelevu Tanzania
UNDP, EU na Finland Wawekeza Katika Biashara Endelevu Tanzania
Marekani Yapendekeza Kusimamishwa kwa Miaka 20 kwa Urutubishaji wa Uranium wa Iran
Cardi B Aibua Mjadala Kuhusu Kifo cha Ashlee Jenae Zanzibar “Hakujiua”
Fahamu Bajeti na Maandalizi ya Safari ya Kihistoria ya Artemis II
Dkt. Mwigulu Nchemba Ateta na Balozi wa Slovakia Jijini Dodoma
Rais wa Iran Alaani Kauli za Trump Dhidi ya Papa Leo XIV
Fahamu Wasifu wa Wanaanga wa Artemis II na Elimu Zilizowafikisha Mwezini