🇹🇿 Tanzania News Website
Track live headlines, publication timing, and trending stories from Bongo5 in Tanzania.
www.bongo5.comTotal Headlines
34
Date Range
Mon, 20th Apr., 2026 - Yesterday
NuLife Fertility Centre Yaendelea Kuongoza Huduma za Uzazi Tanzania
Mpango muhimu wa kuimirisha mashirika ya Kiraia
Tanesco yahamasisha matumizi ya magari ya umeme kuokoa gharama na kulinda mazingira
Wakaguzi wakuu wa migodi watakiwa kuwa mabalozi wa biashara halali ya madini
Watoto, vijana 75,500 watarajiwa kufanyiwa uchunguzi kubaini mapema kama wana sikoseli
Kiwanda cha kuchakata chumvi mbioni kukamilika Lindi
Climax Bibo awachana Aznas Music kwa maneno mazito
Climax Bibo awachana Aznas Music kwa maneno mazito
Nikki Mbishi atupiwa dongo zito na Climax Bibo
Nikki Mbishi atupiwa dongo zito na Climax Bibo
QNET yatoa tahadhari kwa umma kuhusu matapeli wa ajira
Katibu Mkuu Maji aitaka DAWASA kufunga mkanda mapambano upotevu wa maji
Serikali yaongeza nguvu kwa wachimbaji wadogo, yasisitiza usalama migodini
Jumla ya watu 518 walifariki dunia wakati wa vurugu za Uchaguzi Oktoba 2025: Jaji Chande
Prof. Shemdoe amshukuru Rais kwa kutoa fedha za kutekeleza miradi kwenye mamlaka za serikali za mitaa
Jaji Chande: Hakukuwa na maandamani ya amani Oktoba 2025
Waziri Ndejembi: Uwezo wa uzalishaji umeme waongezeka kwa asilimia 12.17
Rais Samia azitaka wizara tano kuchukua hatua za haraka kuimarisha ustawi wa mama na baba lishe
EWURA yahamasisha ujenzi wa vituo vya mafuta vijijini, CNG
Mwinjuma aongoza ujumbe wa Tanzania Uganda kujadili maandalizi ya Afcon
Tanzania ilivyoingia kwenye historia ya kuandaa mashindano ya Miss World
Gavana DRC ateta na TanTrade kuhusu biashara, awahimiza watanzania kuwekeza nchini Kongo
Ulega aibana Tanroads, atoa siku 14 mkandarasi barabara ya Kisarawe – Maneromango apatikane
Mradi wa uendelezaji bonde la Msimbazi kuhamisha zaidi ya nyumba 3,000, kutoa fidia stahiki
INEC yatangaza uchaguzi mdogo Isimani na kata 12 kufanyika Juni 1, 2026
Madam Ritha aomba radhi kwa tukio alilolifanya usiku
Madam Ritha aomba radhi kwa tukio alilolifanya usiku
Serikali kukamilisha miradi yote’viporo’ vya barabara, madaraja
Ulega: Serikali kuimarisha miundombinu Mara
Mastaa Zaidi ya 30 Kwa Ndege Binafsi kwa Uzinduzi wa Siku Tatu Hifadhi ya Serengeti
Hivi hapa viwango vipya vya nauli kwa mabasi ya masafa marefu, daladala, teksi na pikipiki za mtandao
Waziri Mkuu atoa agizo kwa watendaji Serikalini